Tume PM tena kwa hawa wadau.Nashukuru kwa kuniita nimefika
Mie sijui why hawataki pesa yangu hata Mike jana nimemtumia PM anipe details za wakati huu hata kusoma hajaisoma..
Nitaendelea kuwatolea yatima na wazee kama kawa.
Jitahidi upate hicho cheo
Uwe tofauti na sisi wa juzi
[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]
Nilijaribisha b4 nawatumia msgs hawajibu.. nawaacha wakitaka watanijuza. Wanapesa ndefu hawaitaji za akina nobody Cocochanel
hahahaahh, ahsante kwa kuniona pia ahsante Mwifwa kwa kuniweka kwenye orodha. Pia na mie namshukuru mwanaJF Nova Makunga ndie aliyenishawishi kujiunga na Jamboforums miaka hiyo.NAHUJA upo?? wapi cocochanel
hahahahahaahAisee.
Hao ni kibwagizo cha uzi[emoji2] [emoji2]
Halafu kwa nini hujanishawishi na mimi hadi nikachelewa kiasi hicho[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji15]hahahaahh, ahsante kwa kuniona pia ahsante Mwifwa kwa kuniweka kwenye orodha. Pia na mie namshukuru mwanaJF Nova Makunga ndie aliyenishawishi kujiunga na Jamboforums miaka hiyo.
Hivi ni bendi gani ile waliimba wimbo huu "CHUKI BINAFSI HAZIFAI, TUZIACHENI JAMANI ZINALETA MTAFARUKU..."Kwani nae huyu ni mhenga...
poapoa mtanihahahaahh, ahsante kwa kuniona pia ahsante Mwifwa kwa kuniweka kwenye orodha. Pia na mie namshukuru mwanaJF Nova Makunga ndie aliyenishawishi kujiunga na Jamboforums miaka hiyo.
Kibanga ampiga mkoloniNawakumbuka akina:
WomanofSubstance (jirani wa ukweli huyu na mtu mmoja poa sana) Mwafrika wa Kike, Kiranga, Mbu, Nyamayao, Mwanajamii One, Firstlady1, Fixed Point (MSULI) na wengineo wengi ambao walikuwa watu muhimu sana kwa michango yao ambayo illifanya Jamii Forums ipendwe sana na Watanzania ndani na nje ya nchi hata kwa majirani zetu wa Kenya na sasa kuwa tishio kubwa kwa Serikali.
Mi mzima kabisa sijui wewe!mie spring chicken usinitaje huko kwenye zamani za kale bwana.
Kitambo sasa, mzima lakini?