Uzi Maalumu kwa Wahenga wa JamiiForums

Namna ya kuingia kwenye hiyo orodha tafadhari
Naomba nielezwe
 
Nimesoma majina yote hayo nimegundua hii JF inataka kupoteza uhalisia wake baada ya kuingia watu wa kushambuliana bila hoja zenye mshiko umebaki ukada tu
Majina niliyokuwa nayafuatilia kwenye thread zao kabla sijajiunga
Zilikuwa za kisomi na kitaalamu kweli kweli sio mipasho ya siku hizi
 
We jamaa una kumbukumbu za ajabu. Najua hujanitaja kwa kusudi maalum...

Hahahahha.... usiku huu huku Torabora najua huko utakuwa ushalala
 
We jamaa una kumbukumbu za ajabu. Najua hujanitaja kwa kusudi maalum...

Hahahahha.... usiku huu huku Torabora najua huko utakuwa ushalala
Hahahahaaaa.

Babu wewe pia ni muhenga ila kwa vigezo nilivyotumia hapa, kwako vimepita kushoto
 
Hahahahaaaa.

Babu wewe pia ni muhenga ila kwa vigezo nilivyotumia hapa, kwako vimepita kushoto
Hujanijua vizuri... enzi za jambo Forum nikitumia ID ileee...

Hapo hata Kaizer hayupo???

Enzi za DarHotWire... hahahaha

WomanOfSubstance umemwacha wapi kwa mfano? Kiranga? Blueray?

Ile ilikuwa JF ya ukweli kabla sijazeeka nafanya utani na wajukuu zangu

Nikikuambia kwa mfano Le Field Marshal ndo Le Mutuz Orijino utaniamni? Nakuambia tu sio kwamba niko siriaz
 
Hahahahaaa.

Babu najua miwani yako ilipotoboka na nywila ukaisahau hadi ukaja na ID hiyo ya kidonge.

WomanOfSubstance(2008), Kiranga(2009), blueray(2012) tume imesema vigezo bado havijatimia kuingia kwenye list ya uzi huu
 
Hahaha haya bhana... hao wote kwa taarifa yako walitaifishwa na Jambo Forums2006...

Sikujua kumbe wanatafutwa ma legends wa 2007 akiwemo dadaangu cocochanel

Kwa vigezo hivyo.... nimenawa mikono... mi bado mdogo.... hahahhaaa

Kila la kheri....
 
dar humu hadi mm wa 2010 sistahili kabisa nilikuta ishakuwa modern mno
 
Hahaha haya bhana... hao wote kwa taarifa yako walitaifishwa na Jambo Forums2006...

Sikujua kumbe wanatafutwa ma legends wa 2007 akiwemo dadaangu cocochanel

Kwa vigezo hivyo.... nimenawa mikono... mi bado mdogo.... hahahhaaa

Kila la kheri....
Sawa Babu.
Naona bibi yangu coco anaipeperusha bendera vizuri ya uhenga akisapotiwa na NAHUJA
 
Wapo na wengine wahenga wa miaka hiyo ila ni wale 'kimya kimya "
Kweli mkuu, kwenye hiyo list asilimia kubwa ni wazee na wamekuwa wanashiriki mijadala kwa nadra sana isipokuwa wachache ambao wapo active kama Nyani Ngabu, BAK, jmushi1, cocochanel, NAHUJA, JokaKuu, Safari_ni_Safari na wengineo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…