Uzi Maalumu kwa Wahenga wa JamiiForums

Nimemkumbuka legend mwingine huyu ID yake ilikuwa ni Mwafrika wa Kike. Huyu michango yake ilikuwa kwenye jukwaa la kuudhi tu na alikuwa kichwa sana na nondo zake bab kubwa.

Alituaga humu kwamba anaondoka. Wengi walisikitika sana na kumuomba asiondoke. Mwenyewe alionyesha hakupenda aondoke lakini alikuwa hana jinsi. Watu walitaka kujua sababu zilizosababisha aondoke. Mwanzoni hakusema lakini baadaye akatwambia Mama yake kamgundua humu na hakupenda aliyokuwa akiyaandika. Baadhi walimshauri abadili ID lakini akasema haitachukua muda Mama yake kumgundua maana anajua anavyo tiririka.
 

Ooh I see
 
Mie nilikuwa nazuka humu kwa pc au lap top.
Kweli, maana kipindi hicho smartphone zilikuwa bado nadra sana, most mtakuwa mlitumia hiyo njia.
 
Reactions: BAK
Ahsante, naamini itakuwa hivyo kwa jina ya yule aliye juu
Hapo sawa.

Sisi tukitia juhudi na yeye anatia wepesi mambo yanakuwa murua kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…