Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 10,963
- 13,287
Nitashukuru
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitashukuru
Sahihi kabisa,mali bila daftari huisha bila habari,Kwa sasa muweka hazina ni The Icebreaker na anatekeleza majukumu yake ipasavyo hivyo ningeomba ndugu EINSTEIN112 apewe nafasi ya propaganda na uenezaji
Wanachama tujuane hapa kuna mwenzetu alishawahi kuhonga 7,800 tuna mmaindi kinoma
[emoji23][emoji23][emoji23]Sahihi kabisa,mali bila daftari huisha bila habari,
Matumizi yote lazima yawekwe kwenye kumbukumbu ya kimaandishi,hata kama utatumia Shilingi 100,
Mimi kama CAG wa UWABATA sitafumbia macho hata upotevu wa shilingi moja.
CAG tafadhali angalia mapato na matumizi ya chama isipotee hata sentiSahihi kabisa,mali bila daftari huisha bila habari,
Matumizi yote lazima yawekwe kwenye kumbukumbu ya kimaandishi,hata kama utatumia Shilingi 100,
Mimi kama CAG wa UWABATA sitafumbia macho hata upotevu wa shilingi moja.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] awe katibu wa chama tawi la KinondoniMimi nataka achukue ukatibu wa chama
Maana alimtoa mwanza na wakachukua chumba
Sasa kama unarekodi kubwa zaidi ya hiyo tuambie