Uzi maalumu kwa wakulungwa (UWABATA)

Uzi maalumu kwa wakulungwa (UWABATA)

Jamani mwenyekiti wa UBAWATA kanda za nyanda za juu kusini ndipo nafika leo makao makuu ya kanda yetu ili kuyaanza majukumu ya chama chetu tangu nichaguliwe na wanachama wenzangu.

Kiukweli nimetembea siku tatu kwa mguu toka mbeya hadi sumbawanga. Nashukuru kiporo nilichokuwa nimekibeba toka mbeya hadi sumbawanga ndicho nakipasha saizi ili kukimalizia. Maji nilikuwa nachota kwenye mito niliyokutana nayo njiani.
Kesho naingia ofsini rasmi. Mniombee[emoji16]

Saafi sana ndugu mjumbe, kiukweli unastahili pongezi kwa namna ulivyoonesha kuzingatia ilani ya chama.

Mimi kama mjumbe niliefurahishwa na uchapakazi wako, naomba uagize maji ya kondoro bili nitalipa mimi maana kuna hela naisikilizia.
 
Asante mjumbe mwenzangu, nimeagiza maji ya mia wameniletea ya mia mbili eti ya mia yameisha, nimewatoa nduki hapa, na mimi ndo natelemkia kwenye kamfereji ka maji ya kumwagilizia nyanya, ni bure tu ata hawauzi mjumbe .😁
 
Asante mjumbe mwenzangu, nimeagiza maji ya mia wameniletea ya mia mbili eti ya mia yameisha, nimewatoa nduki hapa, na mimi ndo natelemkia kwenye kamfereji ka maji ya kumwagilizia nyanya, ni bure tu ata hawauzi mjumbe .[emoji16]

Mjumbe unafeli. Kwenye chama tuna kitengo cha uokoaji kwa dharura kama hizi, tupo vizri... Uoipaswa kumpigia mwenyekiti kamati ya uokozo ndugu Mnyatiaji.

Sema gari ya uokozi bado ipo gereji na kuna hela tunaisikilizia ili tukaitoe maana ina miezi 9 sasa pale gereji.
 
Sawa, wakati tunaendelea kuisikilizia hela ya mchango wa kulipia matengenezo ya gari yetu, basi tusichoke pia kuchangia michango ya chama chetu, ila mimi kwa saizi mtanisamehe maana kuna hela naisikilizia sehemu hivi.
 
Jamani mwenyekiti wa UBAWATA kanda za nyanda za juu kusini ndipo nafika leo makao makuu ya kanda yetu ili kuyaanza majukumu ya chama chetu tangu nichaguliwe na wanachama wenzangu.

Kiukweli nimetembea siku tatu kwa mguu toka mbeya hadi sumbawanga. Nashukuru kiporo nilichokuwa nimekibeba toka mbeya hadi sumbawanga ndicho nakipasha saizi ili kukimalizia. Maji nilikuwa nachota kwenye mito niliyokutana nayo njiani.
Kesho naingia ofsini rasmi. Mniombee😁
kupasha kiporo ni matumizi mabaya ya njiti.

Next time nunua miwa mirefu miwili uwe unaila taratibu njiani mtafutaji mwenzangu. Mbinu ya kwanza ya utajiri ni Ubahiri, zingatia hilo.
 
Asante mkuu kwa ushauri mzuri sanaaa. Sema miwa ina bei sana mkuu, shilingi mia ni kubwaaa, ila nitajitahidi niwe naokota ile ya juu kabisaa mitindi😁 huwa ni mitamu sana ile mkuu🤣🤣🤣
 
Screenshot_20210312-233554.jpg
 
Mjumbe unafeli. Kwenye chama tuna kitengo cha uokoaji kwa dharura kama hizi, tupo vizri... Uoipaswa kumpigia mwenyekiti kamati ya uokozo ndugu Mnyatiaji.

Sema gari ya uokozi bado ipo gereji na kuna hela tunaisikilizia ili tukaitoe maana ina miezi 9 sasa pale gereji.
Nazani hii gari tumwachie asikilizie nayo kwanza
 
Jamani mwenyekiti wa UBAWATA kanda za nyanda za juu kusini ndipo nafika leo makao makuu ya kanda yetu ili kuyaanza majukumu ya chama chetu tangu nichaguliwe na wanachama wenzangu.

Kiukweli nimetembea siku tatu kwa mguu toka mbeya hadi sumbawanga. Nashukuru kiporo nilichokuwa nimekibeba toka mbeya hadi sumbawanga ndicho nakipasha saizi ili kukimalizia. Maji nilikuwa nachota kwenye mito niliyokutana nayo njiani.
Kesho naingia ofsini rasmi. Mniombee[emoji16]
Dumisha ilani ya chama

Sent from my SM-C9000 using JamiiForums mobile app
 
Asante mjumbe mwenzangu, nimeagiza maji ya mia wameniletea ya mia mbili eti ya mia yameisha, nimewatoa nduki hapa, na mimi ndo natelemkia kwenye kamfereji ka maji ya kumwagilizia nyanya, ni bure tu ata hawauzi mjumbe .[emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-C9000 using JamiiForums mobile app
 
Sawa, wakati tunaendelea kuisikilizia hela ya mchango wa kulipia matengenezo ya gari yetu, basi tusichoke pia kuchangia michango ya chama chetu, ila mimi kwa saizi mtanisamehe maana kuna hela naisikilizia sehemu hivi.
Chuma yetu.hii hapa
FB_IMG_1614918325580.jpg

Back
Top Bottom