Premij canoon
JF-Expert Member
- May 27, 2018
- 1,203
- 2,771
Jamani mwenyekiti wa UBAWATA kanda za nyanda za juu kusini ndipo nafika leo makao makuu ya kanda yetu ili kuyaanza majukumu ya chama chetu tangu nichaguliwe na wanachama wenzangu.
Kiukweli nimetembea siku tatu kwa mguu toka mbeya hadi sumbawanga. Nashukuru kiporo nilichokuwa nimekibeba toka mbeya hadi sumbawanga ndicho nakipasha saizi ili kukimalizia. Maji nilikuwa nachota kwenye mito niliyokutana nayo njiani.
Kesho naingia ofsini rasmi. Mniombee[emoji16]
Saafi sana ndugu mjumbe, kiukweli unastahili pongezi kwa namna ulivyoonesha kuzingatia ilani ya chama.
Mimi kama mjumbe niliefurahishwa na uchapakazi wako, naomba uagize maji ya kondoro bili nitalipa mimi maana kuna hela naisikilizia.