Uzi maalumu kwa wakulungwa (UWABATA)

Kwa sasa muweka hazina ni The Icebreaker na anatekeleza majukumu yake ipasavyo hivyo ningeomba ndugu EINSTEIN112 apewe nafasi ya propaganda na uenezaji
Sahihi kabisa,mali bila daftari huisha bila habari,
Matumizi yote lazima yawekwe kwenye kumbukumbu ya kimaandishi,hata kama utatumia Shilingi 100,

Mimi kama CAG wa UWABATA sitafumbia macho hata upotevu wa shilingi moja.
 
Usiamini kila unachokisikia...

Hata chatu huachama kimya kama hana habari ila ukiingiza kichwa anakumeza bila huruma...
 
Sahihi kabisa,mali bila daftari huisha bila habari,
Matumizi yote lazima yawekwe kwenye kumbukumbu ya kimaandishi,hata kama utatumia Shilingi 100,

Mimi kama CAG wa UWABATA sitafumbia macho hata upotevu wa shilingi moja.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sahihi kabisa,mali bila daftari huisha bila habari,
Matumizi yote lazima yawekwe kwenye kumbukumbu ya kimaandishi,hata kama utatumia Shilingi 100,

Mimi kama CAG wa UWABATA sitafumbia macho hata upotevu wa shilingi moja.
CAG tafadhali angalia mapato na matumizi ya chama isipotee hata senti

Mwaka huu kila.memba ajenge
 
Mimi nataka achukue ukatibu wa chama
Maana alimtoa mwanza na wakachukua chumba

Sasa kama unarekodi kubwa zaidi ya hiyo tuambie
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] awe katibu wa chama tawi la Kinondoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…