Uzi maalumu kwa wale waliowahi kupigwa ban JF

Daah hata sikumbuki nilimtukana nani, nikashangaa tuu nafungua nakuta nimepigwa ban ya siku nzima.

Daah noma sana. But haikuniathiri sana coz ilikuwa ya mda mchache.
 
Daah hata sikumbuki nilimtukana nani, nikashangaa tuu nafungua nakuta nimepigwa ban ya siku nzima.

Daah noma sana. But haikuniathiri sana coz ilikuwa ya mda mchache.
Ya siku moja poa ni kama vile umekosa bando siku hiyo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…