Uzi maalumu kwa wale wote waliowahi kutendewa mema na kurudisha fadhila

Uzi maalumu kwa wale wote waliowahi kutendewa mema na kurudisha fadhila

blackstarline

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2016
Posts
3,774
Reaction score
9,913
Labda ilitokea umepigika vibaya akatokea mtu akakusaidia mwishowe maisha yaka kunyokea na ukarudi kwa yule aliye kusaidia na ukamrudishia fadhila, maisha ni kusaidiana haijalishi kwa yule unaemsaidia labda hatakulipa au laa! Naamini ukimsaidia mtu kwa moyo mkunjufu haki yako haita potea. Mimi binafsi nimesaidiwa sana na watu tena hatujuani kabisa ijapokuwa sijaweza kuwarudishia fadhila zao lakini naamini siku moja nitarudisha mema yote walionitendea.

‘’No one can survive in this world without help’’.
 
Back
Top Bottom