Demiss naomba nikualike siku moja kwenye vikao vyetu!Wapiiii
Leo tunaangalia mpira waswanu pub na kula kitimoto ya hapaWapiiii
Aisee wanajitahidi saana Waswanu,fanya siku moja nikupeleke ukaionjeNipeleke na mm nikale nasikia tamuuu kama ya Wazee pub
Hahaha,si vikao vya tungi!Vikao vyenu vipi?
Uzunguni hapa karibu na kwa spika wa bungeNitakuja j5 kuwapa kampany nipe location vizuri
Poa, haina mbayaa!Twende j5 maaan sio kwa udenda huu unaonitoka
Kwanini mkuu
Unaonekana we ni mdau sana wa waswanu,usikute tunafahamiana aisee,maana kila jion mara nying nipo hapoUzunguni hapa karibu na kwa spika wa bunge
Polee sana,au ulizidisha saana?Mimi siyo mdau saivi kivile kuna siku nilitungi nikaumwa week now nipo likizo
Nakaa mitàa hii ndo maana siwez kwenda mbali wakat hapa pazuriUnaonekana we ni mdau sana wa waswanu,usikute tunafahamiana aisee,maana kila jion mara nying nipo hapo