Uzi maalumu kwa Wana JamiiForums wanaohamia na kuishi Dodoma!

Uzi maalumu kwa Wana JamiiForums wanaohamia na kuishi Dodoma!

Kumbe kuna buffee la buku saba pale? Si unaongelea hapa opposite na ghorofa jipya la PSPF? Pembeni yake wanauza kitimoto?

Yule Jirani yake wa kitimoto huwa ananitisha maana wengine sisi sio wateja. Ngoja kesho lunch nifanye ziara
Ewaaaah
 
mi naona sehemu hizo ni za bei poa afu hata watoto wa la 7 wanaendaga so kujimix na watoto ni kujidharirisha.

mfanovroyal village simple sana pale vitoto vingi vinashindaga pale age 14yrs±

bado hujazunguka dom yote wewe kuna sehemu tulivu na za hadhi.
Mbona ujazitaja hizo sehemu wewe
 
Back
Top Bottom