Uzi maalumu kwa Wana JamiiForums wanaohamia na kuishi Dodoma!

Uzi maalumu kwa Wana JamiiForums wanaohamia na kuishi Dodoma!

lile soko pale pemben ya nyerere square kwa mitoko mikali...na yule kaka anauzia wanafunzi coz work,tght,tip,shifoni

Demiss unapajua hapa fika maeneo hayo kwa pamba kali
 
lile soko pale pemben ya nyerere square kwa mitoko mikali...na yule kaka anauzia wanafunzi coz work,tght,tip,shifoni

Demiss unapajua hapa fika maeneo hayo kwa pamba kali
Bado iko mkuu, pale wanamwaga mizigo kuanzia saa kumi za jioni hadi nyakati za machweo kamakawaida
 
Nani anakuhudumia nimwambie akuongeze?Marry,Pendo?Vicky?Lucy?
Nilichukua Bombadia hapo kaunta, then nikawa napiga mziki kwa Bluetooth nikiwa hapo counter nimesimama upande wa kona kuelekea chooni.... Baada ya jamaa flani kuja na wakataka kubadili kutoka Reggae to HipHop, ndipo nikaamua kuhamia kule kwa kibanda
 
Nilichukua Bimbadia hapo kaunta, then nikawa napiga mziki kwa Bluetooth nikiwa hapo counter nimesimama upande wa kona kuelekea chooni.... Baada ya jamaa flani kuja na wakataka kubadili kutoka Reggae to HipHop, ndipo nikaamua kuhamia kule kwa kibanda
Haina noma Mkuu
 
mi naona sehemu hizo ni za bei poa afu hata watoto wa la 7 wanaendaga so kujimix na watoto ni kujidharirisha.

mfanovroyal village simple sana pale vitoto vingi vinashindaga pale age 14yrs±

bado hujazunguka dom yote wewe kuna sehemu tulivu na za hadhi.
 
Back
Top Bottom