Mwanyasi
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 7,955
- 7,109
Mzee wabkufunga kamba za viatuMessy....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee wabkufunga kamba za viatuMessy....
Utakapopenda we nipeleke tu,Nitakupeleka Rainbow
Twende sasaHahahaha nimepata hamu ghafla
Mbona minipo hapa Waswanu mkuu..... Nimekaa hapa kwenye kibanda kwenye taa ya rangi, najipigia jibapa tarrtiiib....Kuna sehemu pia inaitwa waswanu ipo Uzunguni naona sipaoni kwenye list,wengine ndio sebuleni kwetu hapo!
Urojo unapatikana pale mkabala na CCM makao makuu. Panaitwa kwa wapembaUrojo wapi?
Unapiga kitu cha mchanga siyoo, nakuja tusalimie mkuu!mi mwenyewe nipo pia!Mbona minipo hapa Waswanu mkuu..... Nimekaa hapa kwenye kibanda kwenye taa ya rangi, najipigia jibapa tarrtiiib....
NakusubiriSawa
Mhhhhh.....[emoji45] [emoji45]Dodoma carnival ndo maeneo yangu ya kujidai...
[emoji23] [emoji23] exactly ...tena napendaga kukaa mwenyewMhhhhh.....[emoji45] [emoji45]
Au wewe ndie yule mdada namuona pekeyake pale amekaa karibu na counter ya jikoni...[emoji15] [emoji15]
8,8stend imehamia wap jamn
[emoji120] kipenziNitakupokea shaka ondoa
Karibu Sana mkuu, ukuje upige hata kitoti moja... tehteehhhUnapiga kitu cha mchanga siyoo, nakuja tusalimie mkuu!mi mwenyewe nipo pia!