Uzi maalumu kwa Wana JamiiForums wanaohamia na kuishi Dodoma!

Uzi maalumu kwa Wana JamiiForums wanaohamia na kuishi Dodoma!

Karibu sana Dom my dear shemelaaaa[emoji8][emoji16][emoji16]
zile bend zilikuwa zinatoa burudani zipo ? Mfano super melody sakis ile ya fourways kizota inaitwaje? Naomba ratiba zake
 
Duh! capital city kitambo, ngoja nifanye mingo nihamie hapo, nimekaa three years 2008 -2011, pande za Chimwaga, nitakutafuta Mkuu nikija pande hizo!
 
Duh! capital city kitambo, ngoja nifanye mingo nihamie hapo, nimekaa three years 2008 -2011, pande za Chimwaga, nitakutafuta Mkuu nikija pande hizo!
Karibu sanaaaaaaaa
 
Nilikaa sana kule majengo kikazi ndani ya awe Guest house
 
Nidadavulie maeneo nyeti pale Kondoa, nahamia kikazi.
 
Back
Top Bottom