Uzi maalumu kwa Wana JamiiForums wanaohamia na kuishi Dodoma!

Uzi maalumu kwa Wana JamiiForums wanaohamia na kuishi Dodoma!

Vipi nikitaka kufungua duka la kwa Dom ni mitaa gani na vyumba vya duka na kuishi ni shiling ngp???
Vyumba kuanzia laki moja self mpaka 50 ndo vyumba vya hadhi kutokana na maeneo
 
Unaenda mwenyewe au na mganga wako..[emoji3] [emoji125]
Nilienda peke yangu
IMG-20180702-WA0003.jpg
 
Iringa road kiwanja cha nyumbani kito au kitoli
 
Hivi ukiwa na ahadi ya kumeet na mtu wa jf.. unamtafutia wapi km hayupo online na dm kafunga
 
Back
Top Bottom