Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sana usisahau kuandaa mvinyo wetu uleKaribu my dear
Nitakuwa mgeni wako
Hapo kwenye mvinyo hapoo, nitahusika piaAsante sana usisahau kuandaa mvinyo wetu ule
Hahahaha andaa tiketiHapo kwenye mvinyo hapoo, nitahusika pia
Haina mbayaa,tutachekiana jioni!nilikua nakukumbusha tu!Uwiii nipo katibu mitaa ya Stand ya zamani hapaaa
Hahaha,utaikuta usijali!ila hiyo sura ya baba ndio ipoje?[emoji1][emoji1][emoji1][emoji2][emoji23]nasugua meno hapaa rost niikute tafadhali usijenikimbia maana ninatisha kafupi sura ya baba
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kama avatar yakoo
Hahaha,hatuwez kukimbiana mwenyekit,ila we si ndio zako kukimbia watu!Usijenikimbia rafiki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]uwiiii nitakukimbia wallah