Uzi maalumu kwa Wana JamiiForums wanaohamia na kuishi Dodoma!

Vipi nikitaka kufungua duka la kwa Dom ni mitaa gani na vyumba vya duka na kuishi ni shiling ngp???
 
Haina mbayaa,tutachekiana jioni!nilikua nakukumbusha tu!
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji2][emoji23]nasugua meno hapaa rost niikute tafadhali usijenikimbia maana ninatisha kafupi sura ya baba
 
Hahaha,utaikuta usijali!ila hiyo sura ya baba ndio ipoje?
 
Back
Top Bottom