Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitafutie cha kuishi cha bei kuanzia 50.Vyumba kuanzia laki moja self mpaka 50 ndo vyumba vya hadhi kutokana na maeneo
Unaenda mwenyewe au na mganga wako..[emoji3] [emoji125]Najiremba tayar kwenda club [emoji188] [emoji188] [emoji188] [emoji188]
SawaSawa kabisaa umepataa
Duh,hapo breakfast kwa sana..Pamojaa nipo hapa Mbalamwezi cafe
Haswaaaaaa....Hahahaha andaa tiketi
Ewaaaaa.....Karibu sana binaaa
Kwenye commentHivi ukiwa na ahadi ya kumeet na mtu wa jf.. unamtafutia wapi km hayupo online na dm kafunga
Nakuandalia apatment bina kwangu nina bonge la familiaEwaaaaa.....
niangalizie ka-apatment kule area D.
Au nitafikia kwako bina?