Uzi maalumu kwa wapenzi na tunaomiliki Toyota Corolla Rumion

Uzi maalumu kwa wapenzi na tunaomiliki Toyota Corolla Rumion

hii gar n nzur yaan nikiiona naona kama prado fulan hv ambayo imemodolewa. afu ikiwa rangi ya kijivu au damiamzee yan daaah[emoji39]. ila kuna starlet fulan hv huwa znanivutia pia ukute ndo imepigwa urembo rembo aaah mbna utapenda!!
Prado fulani'

You are not serious kabisaa. Huo uchakaramu uuone kama prado asee, ebu kua serious kidogo.
 
Hizi gari wamezikosea sana mbele kwa chini hata uweke spacer za inchi ngapi kama barabara ni rough road lazima itagusa bampa tu, sababu iliyonifanya niuze ingawa nilikuwa naipenda
Inanitesa Sana Kwenye rough road pia nilihisi pengine nikiweka sports tire labda itainuka kidogo
 
IMG_2224.jpg

IMG_2227.jpg

Ukitia rims kinavutia haswaa
 
IPO chini Sana aisee nimejaribu kuweka spacers ya inchi moja lkn bado IPO chini Ila Kwa kifupi ni mpaka niweke rim sports na tairi za size 205
rumion iko chn sana ndo mana kwny comment yangu hapo juu nkasema kuna starlet flan hv huwa naielewa sana mana ike iko juu kuliko rumion
 
Back
Top Bottom