Mzee Shirimaa
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 1,539
- 3,456
Weka coil za mark 2IPO chini Sana aisee nimejaribu kuweka spacers ya inchi moja lkn bado IPO chini Ila Kwa kifupi ni mpaka niweke rim sports na tairi za size 205
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka coil za mark 2IPO chini Sana aisee nimejaribu kuweka spacers ya inchi moja lkn bado IPO chini Ila Kwa kifupi ni mpaka niweke rim sports na tairi za size 205
Asante Kwa elimu nduguuu!!!! Nitafanyia kaziWeka coil za mark 2
Likiwa mbaya unataka Mimi nifanyeje
Kata pickup kasombee tofali.Likiwa mbaya unataka Mimi nifanyeje
So kumbe hapo kaitegeshea tu hizo tairi ipo juu ya mawe? Hatari sana.Rumion hua ni kali, ila sio hii ya kwako uliyotuwekea hapa. Unaendeshaje gari haina rim? Hebu kaweke rim na tairi za maana kwanza ndio uilete hapa..!
Guys!. Mtu kanunua gari anayoipenda wewe unaikosoa na kumfharau kanunua gari mbaya... Hiv unajua kale kademu kako kam.a ni kabaya pia. Alafu wat tunakuchora tu.. Em acheni hizo. Gari kama sio nzuri kwako, usiipondee sana. Sina hiyo gari nina Vanguard ila ni vizuri kuheshimu chaguo la mtu.So kumbe hapo kaitegeshea tu hizo tairi ipo juu ya mawe? Hatari sana.