Uzi maalumu kwa wapenzi na tunaomiliki Toyota Corolla Rumion

Hii gar ninzu kwa nje ukiindoa bampa la mbele, ndan wameboa sana kuweka dashboard katikati kama ist, vitz, raum, ractic n.k. kila mtu abiria anaina kila kitu.
 
 
mkuu nimeielewa sana na nimeagiza kwa sababu umeisifia nicheki tubadilishane uzoefu 0712432619
 
Hiyo part ya chini ya bumper la mbele ikiwezakana ifungue na kuitoa,inachangia sana gari kugusa chini na kupelekea damage kwenye show.
 
Hiyo part ya chini ya bumper la mbele ikiwezakana ifungue na kuitoa,inachangia sana gari kugusa chini na kupelekea damage kwenye show.
Mkuu nikifungua hakutakuwa na show mbaya?
Ngoja nijaribu kuwauliza mafundi nione watasemaje
 
Tena haina haja ya fundi-unafungua hizo nut za pembeni mwenyewe.Angalia hiyo outlook ya Rumion nimeitoa Befoward haina hyo part ya chin.
hii nitaitoaje si shepu ikopotea 0743384040
 

Attachments

  • 234031_image08.jpg
    21.5 KB · Views: 136
  • 234031_image06.jpg
    17.6 KB · Views: 135
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…