Uzi maalumu kwa wapenzi na tunaomiliki Toyota Corolla Rumion

Itatoweka sokoni Kama Verosa na Oppa!
Nimeiona huku mkoa haishawish kwa barabara zetu huku!
Na barabara za mchina huku zilivyo na mawimbi sijui itakuwaje!
Ziishie hukohuko kwenye barabara za makumbusho!
Kilicho towesha verosa na opa ni ulaji wa mafuta.
 
Hii gar ninzu kwa nje ukiindoa bampa la mbele, ndan wameboa sana kuweka dashboard katikati kama ist, vitz, raum, ractic n.k. kila mtu abiria anaina kila kitu.
Inakera balaa. Mtu anaingia kwenye gari anakuuliza mbona taa ya mafuta inawaka....
 
Hiyo part ya chini ya bumper la mbele ikiwezakana ifungue na kuitoa,inachangia sana gari kugusa chini na kupelekea damage kwenye show.
Bora aharibu hio body kit aje kuifungua siku anataka kuuza gari bumber itakuwa kama mpya pamoja na pembeni mle.
 
Gari mbaya, muonekano kama Buti la jeje.

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…