Uzi maalumu kwa wapenzi wa Animation

Nimeziona allmost zote zilizotajwa humu. Kwangu ndio movie nizipendazo sababu unatazama na yeyote na popote.
Nimeanza enzi hizo za kina Dumbo na lionking [emoji1787][emoji1787][emoji1787].katuni nilikua nachekisana pink panther,tom and jerry na Scooby-Doo plus Twin dragons.
Zikaja kina batman etc
 
Ndio naisikia leo hii.. ni nzuri 🤔

Nishaiona sana, siipendi.
Vipi Rabbid Invasion umeitizama? Inachekesha sana
Ni nzuri sana hiyo Paprika, ijaribu.
Hapana hiyo sijaangalia.
 
Rick and Morty... Yeyote aliyeangalia atakubaliana nami kuwa ni the best show ever..
 
Brave
Madagascar escape zote my favorite character akiwa king julian
Tangled
Kung fu zote panda
Nyngne nmezisahau majna lakn mm ni mpenz mkubwa wa animation
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…