Uzi maalumu kwa wapenzi wa Animation

Uzi maalumu kwa wapenzi wa Animation

Nilikusanya muvi zote zinazotoka Dreamworks Studio ninazo zote.
Namalizia kukusanya Animation kutoka Pixar Studio.
Hiyo sijaijua, vipi ushaiona Home?[emoji38]
Aisee zote? tupunguziane boss..sina stock kabisa kipindi hichi.
 
Kung Fu Panda 1,2&3

Ricky and Morty

Solar opposite

Castlevania

Yasuke

Samurai Jack

Nut job 1&2

Nehza

Thunder cats

Avatar the legend of Korra

Final space

Family Guy

American dad

The simpsons




Utanishukuru baadae ............
Mmetaja nyingi sana 95% nishaziona ila huyu mwamba kanikosha apo kwene Ne Zha bonge moja wa animationa acheni shughuli zote mkatafute iko chombo[emoji91][emoji91][emoji91] sehem ya kwanza na ya pili
 
Nimeziona allmost zote zilizotajwa humu. Kwangu ndio movie nizipendazo sababu unatazama na yeyote na popote.
Nimeanza enzi hizo za kina Dumbo na lionking [emoji1787][emoji1787][emoji1787].katuni nilikua nachekisana pink panther,tom and jerry na Scooby-Doo plus Twin dragons.
Zikaja kina batman etc
Love&death robot
 
You know what Clive, playing a villain in a tv was fun. But being one in real life is even better.... Heist music.🤣(Balthazar Bratt)
Binafsi mimi ni mpenzi wa Animation sana sana hadi cartoon Napenda sana... Animation ndio genre ya muvi ambayo unaweza kuitazama mara nyingi bila kuichoka.

Kampuni zangu bora zinazotengeneza Animation ni Dreamworks Studio na Pixar Studio.Zifuatazo ni animation zangu bora nazopenda kuzirudia
  • Home
  • Wall E (inasikitisha)
  • Big Heroes 6
  • Ratatouille
  • Despicable me
  • Moana
  • Up (inasikitisha)
  • Shrek
  • How to train your dragon
  • Coco
  • Kung fu panda
  • Pussy in boots
  • Maya the bee
  • Boss baby
  • Wreck it Ralph
  • Spy in disguise
  • Megamind
  • Finding Dory n Nemo
  • Cars
  • Grinch
  • Onward
  • Mosnter Inc
  • Soul
  • Chicken Run
  • The Brave
  • Rango (when is he going to die?? Soon my friend soon😆)





Wataafute na hizi raya and the last dragon
Raya and the last dragon
Nezha 1
Nezha reborn 2
White snake
the crood 1&2
Mulani ingawa ya mda kidogo
Guardian of galaxy 1&2
Frezen 1&2
Mortol.komban legend of scorpion


Hapo tu zipo nying sana
 
Back
Top Bottom