Toosie Slide
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 788
- 955
- Thread starter
- #121
Wish Dragon
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji36][emoji36]wameiharibu kinyama hii Movie
Sijaona scooby dobby dooo.Acha leo nikumbushie cartoon zangu za enzi hizo nakuwa:-
Pink and the brain View attachment 2179614
Courage the Cowardly DogView attachment 2179616
Dexter's LaboratoryView attachment 2179618
Ed, Edd n EddyView attachment 2179620humu kuna moja kati ya character mjinga kuwai kutokea kwenye ulimwengu wa animation[emoji23][emoji23][emoji23]
The Powerpuff GirlsView attachment 2179625
johnny bravoView attachment 2179628mwili mkubwa nguvu zero
double dragon.View attachment 2179631
Ben 10:View attachment 2179637hii ilikuwa moto hasa ile ya kwanza inayowaonesha kabla hawajawa wakubwaView attachment 2179638kevin ndio alikuwa villian character aliyekuwa anamsumbua sana ben10 kwan alikuwa anauwezo wa kutumia had styles 4 za ben10 kwenye umbo moja.
popeye and sonView attachment 2179652wazee wa kula spinach ili kuwa na nguvu.
superbook bible storiesView attachment 2179657
Tom and JerryView attachment 2179665
galactik footballView attachment 2179670humu kuna chenga na rafu za hatari.
RobotboyView attachment 2179682View attachment 2179683
megas xlrView attachment 2179691
Totally SpiesView attachment 2179694
codename Kids Next DoorView attachment 2179697
the life and times of juniper leeView attachment 2179702
Code LyokoView attachment 2179713
Martin MysteryView attachment 2179718
MarsupilamiView attachment 2179723
Ngoja niishie hapa kwa leo
Ni noma sanaDonkey-Shrek
Sid-Ice age
Marty-madagascar
Olaf-Frozen
Apo ukimuweka na King Julien [emoji16][emoji16][emoji119]View attachment 2301577
Ice age_wazee wa continental drift[emoji8][emoji7] zote kali inafuata madagasca_hapo kuna muendawazimu wa kuitwa king_julian[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mwehu sanaDonkey-Shrek
Sid-Ice age
Marty-madagascar
Olaf-Frozen
Apo ukimuweka na King Julien [emoji16][emoji16][emoji119]View attachment 2301577
Tukisema katuni zinafundisha watu hawaelewi, huwezi amini hivi sasa watanzania tuna harakati kuliko za rango kwenye utafutaji wa maji[emoji1787][emoji1787][emoji1787]RANGO. It's masterpiece of work kwa kweli...
Kuna Mega mind, kuna Ariel marmaid huku utamkuta ngadu m1 wa kuitwa SEBASTIAN[emoji7] katisha sana, kuna tom and jerry hawa hamna walio wafunika, kuna wissel and baboon humu ni vituko vitupu, kuna cow and chicken balaa zito, caurage dog balaa kabisa[emoji1782]Salaam
Huu uzi ni kwaajili ya animation (cartoon) kali ambazo uwezo angalia. Pia kujulishana ambazo zitatoka.
Animation yangu ya kwanza ilikua ni Big Hero 6, hii ilinifanya niwe mpenzi na mfuatiliaji wa cartoon au animation.
Nyingine kali nilizozicheki ni:
Sing
Frozen 1&2
Tangled ever after
Coco
How to drive your dragon 1,2&3
Shrek
Soul
Moana
Tad and the lost explorer1&2
Kwa uchache ni hizo, najua zipo nyingi sijaziona kwa iyo mpya zitashushwa
Karibuni
HakikaTukisema katuni zinafundisha watu hawaelewi, huwezi amini hivi sasa watanzania tuna harakati kuliko za rango kwenye utafutaji wa maji[emoji1787][emoji1787][emoji1787]