Uzi maalumu kwa wapenzi wa Animation

Uzi maalumu kwa wapenzi wa Animation

Nimeziona allmost zote zilizotajwa humu. Kwangu ndio movie nizipendazo sababu unatazama na yeyote na popote.
Nimeanza enzi hizo za kina Dumbo na lionking [emoji1787][emoji1787][emoji1787].katuni nilikua nachekisana pink panther,tom and jerry na Scooby-Doo plus Twin dragons.
Zikaja kina batman etc
 
Rick and Morty... Yeyote aliyeangalia atakubaliana nami kuwa ni the best show ever..
 
Salaam
Huu uzi ni kwaajili ya animation (cartoon) kali ambazo uwezo angalia. Pia kujulishana ambazo zitatoka.
Animation yangu ya kwanza ilikua ni Big Hero 6, hii ilinifanya niwe mpenzi na mfuatiliaji wa cartoon au animation.
Nyingine kali nilizozicheki ni:
Sing
Frozen 1&2
Tangled ever after
Coco
How to drive your dragon 1,2&3
Shrek
Soul
Moana
Tad and the lost explorer1&2
Kwa uchache ni hizo, najua zipo nyingi sijaziona kwa iyo mpya zitashushwa
Karibuni
Brave
Madagascar escape zote my favorite character akiwa king julian
Tangled
Kung fu zote panda
Nyngne nmezisahau majna lakn mm ni mpenz mkubwa wa animation
 
Back
Top Bottom