Uzi maalumu kwa wapenzi wa Animation

Acha leo nikumbushie cartoon zangu za enzi hizo nakuwa:-

Pink and the brain

Courage the Cowardly Dog

Dexter's Laboratory

Ed, Edd n Eddyhumu kuna moja kati ya character mjinga kuwai kutokea kwenye ulimwengu wa animation😂😂😂

The Powerpuff Girls

johnny bravomwili mkubwa nguvu zero

double dragon.

Ben 10:hii ilikuwa moto hasa ile ya kwanza inayowaonesha kabla hawajawa wakubwakevin ndio alikuwa villain character aliyekuwa anamsumbua sana ben10 kwan alikuwa anauwezo wa kutumia had styles 4 za ben10 kwenye umbo moja.

popeye and sonwazee wa kula spinach ili kuwa na nguvu.

superbook bible stories

Tom and Jerry


galactik footballhumu kuna chenga na rafu za hatari.

Robotboy

megas xlr

Totally Spies

codename Kids Next Door

the life and times of juniper lee

Code Lyoko

Martin Mystery

Marsupilami


Ngoja niishie hapa kwa leo
 
Sijaona scooby dobby dooo.

Ila umenikumbusha mbali sana.

"Pinky are you thinking what I'm thinking"

#MaendeleoHayanaChama
 
Donkey-Shrek
Sid-Ice age
Marty-madagascar
Olaf-Frozen

Apo ukimuweka na King Julien [emoji16][emoji16][emoji119]
 
Hii movie nmerudia kama mara 8 hivi, napenda pirrahna anavyosema its buts wakat ni heart
 
RANGO. It's masterpiece of work kwa kweli...
Tukisema katuni zinafundisha watu hawaelewi, huwezi amini hivi sasa watanzania tuna harakati kuliko za rango kwenye utafutaji wa maji[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kuna Mega mind, kuna Ariel marmaid huku utamkuta ngadu m1 wa kuitwa SEBASTIAN[emoji7] katisha sana, kuna tom and jerry hawa hamna walio wafunika, kuna wissel and baboon humu ni vituko vitupu, kuna cow and chicken balaa zito, caurage dog balaa kabisa[emoji1782]
Adult kuna sousage
 
Tukisema katuni zinafundisha watu hawaelewi, huwezi amini hivi sasa watanzania tuna harakati kuliko za rango kwenye utafutaji wa maji[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hakika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…