Uzi maalumu kwa watu wenye UKIMWI

Tulikuwa tukijua korona ni story na mpaka leo hatuamini tuzime data
 
Daah aisee hongera kwa kujitambua.
Mimi mara ya mwisho nilipima 2021, nilikua -ve.

Ila migodini naskia ni habari nyingine kabisa.
Watu kama nyie hatutaki maoni yenu, zingatia maudhui ya uzi
 
Naomba kuuliza kipenzi, hv ukishaanza kunywa dawa sio rahisi kumuambukiza mtu ambae ni negative? Nimeshuhudia kuwa watu wamepata maambukizi lakini wenza wao wako negative
Zinaitwa Dawa za kufubaza virusi vya ukimwi, which means ukizitumia vzr virusi vinafubaa kweli kweli na kukosa nguvu ya kureact kama zamani hivyo kuwa ngumu kdg kuambukiza mtu mwingne, ndo maana unashauriwa kuanza dozi mapema mara tu baada ya kuambukizwa sio kwa ajili ya afya yako tu bali pia afya ya mwenza wako.
 
Ahsante sana my dear, nakuelewa vzr
 
Mbona unakula chakula kila siku.
Unapoenda kulala unakunywa dawa zako maisha yanaendelea.
Binafsi nawashukuru sana waliotengeneza RV na mamlaka zinazotoa hizo dawa kwa wahusika bure.
Bila hivyo lingekuwa janga la dunia.
Kumeza dawa kila siku kunachosha sana mkuu. Last year nilipewa dozi ya presha ninywe miezi 2 kabla ya kujifungua lakini nilishindwa kuna namna muda wa kunywa dawa ukifika hali fulani unaipata inakuchosha hasa ile harufu ya dawa. Sasa imagine ndio maisha yako yote
Vijana tuplay safe, matumizi ya kinga na kuwa waaminifu
 
Unajijengea kama mlo wako wa kila siku, ukichukulia kama dawa utachoka mapema
 
Wazungu ni nyoko sana
 
Ngoja matomaso waje waseme wenye UKIMWI waweke picha zao waonekane sura zao. Hii mada itaishia hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…