Uzi maalumu kwa watu wenye UKIMWI

Uzi maalumu kwa watu wenye UKIMWI

TAARIFA TAARIFA NDUGU MWENYEKITI

ttumepunguuzaidadii ya ukimwi...

TAARIFA TAFADHALI
Kila familia ukijumlisha babu mpaka wajukuu hukosi watu hata 5 wenye ngoma
Tz kuna familia ngapi?

Kuna mwanamke alilia hadi pressure baada ya kuzaa watoto 6, wawili walifariki zamani huko miaka ya 90
watatu wana ngoma, sasa huyu mmoja aliyebaki wa kiume akawa ana imani nae kua yeye kanusurika kisa ameoa hivi karibuni.
Alizimia baada ya kujua huyu aliyeoa nae anaishi kwa matumaini na mkewe.
 
Kila familia ukijumlisha babu mpaka wajukuu hukosi watu hata 5 wenye ngoma
Tz kuna familia ngapi?

Kuna mwanamke alilia hadi pressure baada ya kuzaa watoto 6, wawili walifariki zamani huko miaka ya 90
watatu wana ngoma, sasa huyu mmoja aliyebaki wa kiume akawa ana imani nae kua yeye kanusurika kisa ameoa hivi karibuni.
Alizimia baada ya kujua huyu aliyeoa nae anaishi kwa matumaini na mkewe.
Ooooohhhòohhhh mpwaaa acha bwanaaa kha
 
Kila familia ukijumlisha babu mpaka wajukuu hukosi watu hata 5 wenye ngoma
Tz kuna familia ngapi?

Kuna mwanamke alilia hadi pressure baada ya kuzaa watoto 6, wawili walifariki zamani huko miaka ya 90
watatu wana ngoma, sasa huyu mmoja aliyebaki wa kiume akawa ana imani nae kua yeye kanusurika kisa ameoa hivi karibuni.
Alizimia baada ya kujua huyu aliyeoa nae anaishi kwa matumaini na mkewe.
Inaitwaaa kitukizitooo
Panyakalapanyaaa
 
Yeye alijijua alikubalije kumwingiza mkenge mwenzie ama ndio maandikoo ntakupa wa kufanana naeee hahahaha
 
Kuna kaka mmoja tukipataga muda wa kuongea ananitania haya maswali

1. Luckyline hivi unavyo jitunza hivi wewe ni mwanamke wa aina gani?
2. Luckyline ni kwamba unaogopa wanaume au ni nini hasa?
3. Luckyline mbona mzuri tu au unabagua sana wanaume?
4. Sasa unavyojitunza hivi ikitokea ukapata mwanaume akakuambukiza ukimwi utafanya nini?

Jibu ni moja ninalompa, mimi nashukuru sikuzaliwa na ukimwi kama wengine wanavyoupata kwa kuzaliwa nao, sio kwamba naogopa wanaume mimi nina sababu.
Mungu mimi nimejinyima starehe zote za duniani, sijawahi fanya umalaya wa aina yeyote hapa duniani.

Kaka niliyempenda alipo niacha niliumia nililia nikajifungia ndani wiki mbili, nae sikuwahi fanya mapenzi nae bila kinga nae nishahidi hata akisoma hapa.

Maumivu yale niliyaugua miaka 2 na miezi 9, nikajaribu kwingine nae hatukufika mbali nilimuona sio muoaji, nae sikushiriki nae bila kinga.

Nikapata mwingine nakili ingawa nilimpenda kuliko wote ila sikuwahi kukutana nae live, siku napanga nimtembelee, nikagundua anaishi na mwanamke ndani ndo maana hakutaka nisafiri kwenda kwake.

In short sijawahi ingia mahusiano na mtu ambae naona hafai kuwa mme.

Wale wachache niliyo ingia nao mahusiano sijawahi kushiriki tendo bila kinga.
Kwa umri nilio nae nilitakiwa niwe na msululu wa wanaumwe nashukuru Mungu hata watano hawazidi na kati yao wengine hatukufika hiyo hatua.

Sio kwa mimi ni malaika au mwema hapana ninataka mwanaume wa kuishi nae, staki mwanaume wa kuniletea ukimwi na kuondoka.

Maisha yangu nimejinyima nimejihudummia mwenyewe, kipindi sina kazi niliangaika na biashara, hela niliyoipata nilijilipia kodi, wakati mwingine na mtaji unapungua dah, nilipitia kipindi kigumu, natongozwa naogopa kutoka out na mtu nikiogopa nikila pesa zake nalipa nini.
Kwangu ndani sina kitu chochote ambacho ni pesa ya mwanaume hakipo.

kalamu haiozi Mungu ni mwema kanipa kijikazi najihudumia sio kwamba staki kuhudumiwa, naogopa nikihudumiwa namlipa nini?
Maisha yangu yote niliishi nikiamini mm nitakuwa mke wa mtu na kamwe hili litatimia who know? May be soon!!

Wanaumwe wa siku hizi si waoaji akiona kama sisi ambao tunajitafutia basi anataka aje azalishe aondoke, staki hilo linitokee.
Point ni kwamba tamaa zimewaponza wadada kupata ukimwi, waume za watu wanatumia dozi linakupa hela linakuambukiza unaishi kwa stress.

Nina mifano mizuri marafiki zangu wengine ni wagonjwa nawaonea huruma.
Nimejitunza sana ukimwi siwezi kuunywa kwenye maji, huyo mwanaume nitakae ishi nae akiniambukiza ukimwi, hicho kisasi nitakachompa kitaumiza ukoo wake wote.
Maisha yangu yote nimejinyima starehe za mahusiano, kutendwa kumenifanya nichukie wanaume wa kiafrica.

Mungu naomba uendelee kunilinda usije nipa mwanaume akaniltea ukimwi, maana mimi siwezi kuutafuta hiyo haiwezekani mpaka hapa nilipofikia.

Mdada au mkaka utakae soma hapa, acha tamaa ukimwi ni mbaya, ingawabkuna magonjwa makali kuliko hata ukimwi, fanyan kazi pata hela zako usitegemee hela ya mtu, hela ya mtu ni majuto itakupeleka kaburini.

Umwa magonjwa mengine ila sio ukimwi wa kijitafutia.

Nyie wakaka usimuamini mwanamke kufanya nae mapenzi bila kinga, utakatisha ndoto zako, wanawake wenzangu wana tamaa, wanamiliki wanaume 4 kwa mkupuo, hamko salama kaka zangu.
Mungu wape faraja wote walio pata ukimwi kwa kuwaamini wenza wao.

Kaka dada linda sana afya yako vile vidonge vya kumeza sila siku vinatesa vinaweza kukuletea any side effect mbaya, mifano ninayo mingi sana.

N.b sitafuti mwanaume humu coz am done with african men, huu uzi umenigusa, maisha yangu niligopa mahusiano moja wapo ikiwa ni kuogopa kupata ukimwi na kunifanya single mom.

Hata hao wachache nilio ingia nao mahusiano wengine hatukufika mbali maana hawakutaka kinga nikajiondoa nashukuru wengine walikuwa ni waelewa.

Mungu ni mwaminifu nina historia ya kipekee ya mahusiano. Hizi starehe ni za hapa duniani bora niwe salama.

Dada kaka ishi ndoto zako ukimuomba Mungu.

dada fanye mazoezi kula vizuri, kunywa maji mengi, penda ngozi yako,punguza vitu vyenye sukari, jali mwili wako usizeeke mapema sawa?
Umeongea point sana Mungu akubariki🤗
 
NILIWAHI ENDA MAKETE MKUU WIFE ALKUWA ANAFANYA RESEARCH ZA KAZINI ZA UKIMWI AISEE WATOTO WAZURI 17-21 WAZURI SHEPU SHEPULAAA WANA WADUDU NA WENGINE WANA WATOTO WAKO HOI AISÈE NIMERUDI CHUMBAN WYF AKASEMA UMEONA EEH MUENDEMEZE KUPASUA SPIKA ZENU AISEE NILIANZA KUFUTA GFRIEND MMOJA BAADA YA MWINGJNE NKABAKISHA WA JF MOJA TU..NAE KAMA N WALEWALEE BASIIÌI...
 
Ukimwi ni laana Aisee inetafuna familia

1998...babi yangu


2005.....mjomba wangu


2020...mama yangu


2024...baba bado anadunda na ARV


2024....mdogo wangu amegundulika na tunauguza kwa sasa

Nikifikiria Hii dunia naona sio sehem Salama kabisa [emoji22][emoji22][emoji22]
Pole sana,kuna familia naifahamu ameondoka Baba,mama anao,watoto wannne wote wameshatangulia,amebakia salama mtoto mmoja tu...
 
ngoja tujadili ukimwi kwanza ila kuna watu wanapiga helaa ndefu na hizi ngoza ukimwi acheni tu sema wengi viongozi waathirika nawajua
 
Kinachokera sio uchungu au utamu bali ni harufu yake, as a matter of fact zinakinai mno, ndo maana wengi huziacha njian
Nili rupture uterine artery kwenye c/ s operation

Nesi hakuleta taarifa kwamba yule binti ni pmtct1 alooh nilikunywa zile pep [emoji23][emoji22]
 
Back
Top Bottom