Uzi maalumu kwa watu wenye UKIMWI

Uzi maalumu kwa watu wenye UKIMWI

Nje kidogo ya mada

Mimi nilikuwa nakula manzi fulani tena peku sikujua anajiuza. Nilipokuja kugundua anajiuza nilipata hofu sana mpaka ikabidi nikapime after kujishauri kama mwezi mzima. Nikakuta niko salama, after miezi mitatu nikapima tena Niko salama

Moral of the story. Usipige kavu utaishi kwa mashaka sana. Bora kula kwa ndomu japo sio tamu ila unatoka na uhakika huna ngoma.
 
Hii siyo guarantee ya kukwepa maambukizi ya VVU.
Mwenza anaweza uza mechi kavu kavu akakanyaga live 'hot wire' akakuunguza na wewe.
Unaweza ukawa nao lakini usimuambukize mwenza wako, huwa najiuliza kwa nini virus vikae kwenye majimaji yaan ute wa mwanamme na mwanamke na si kwenye shahawa
 
Huu uzi kila nikirefresh page naona upo on trending nashindwa kujizuia kuufunga
Anayeweza kublock uzi naomba anielekeze, sitaki niendelee kujisikia huzuni.
Huzuni ya Nini wewe!!?

Kwani...!!?usijali !nasikia ukitumia zile njugu miezi SITA mfululizo unakua negative kabisa yaani ukipima huonekani kuwa positive!!!!!
 
Pole sana ndugu, humu jf mwenye UKIMWI ni wewe tu. sisi members wengine tumetoka kupima hivi karibuni kila mmoja yuko -ve.
Tupo wengi, tunapita kimya kimya tu. Nina mwenzangu mmoja ni wakili mzuri tu. Jamaa yule ni jasiri sijawahi kuona, yaani yuko wazi kwa kila mtu. Mkisafiri kikazi, mmekaa kwenye starehe, ukifika muda wa kumeza dawa zake anaagiza muhudumu anamfatia kwenye gari anameza alafu stori zinaendelea. Wengine mpaka tujifiche yaani shida tupu.
 
Ulizaliwa nao au?
 
Back
Top Bottom