Uzi maalumu kwa wote wanaohitaji mikopo mbalimbali ya kifedha

Mkuu, kama sio washkaji, inamana hauna kikundi chochote unachojihusisha nacho kazini mtaani, chuo, msikitini au hata jumuiya ndogondogk kama ww ni mkristo ukaombe msaada huko. Kuanza kueka bondi vitu kwa vipesa vidogovidogo hutengeneza sumu, utashangaa unauza kila kitu ndani kimchezomchezo!
 
Mkuu ukiona hivi nimekwama
 
Wakuu, nahitaji mkopo wa Tsh 4milion, kwa dhamana ya duka.,na riba tunazungumza, nina uhitaji nayo sana na wa haraka, napatikana dodoma.
 
Back
Top Bottom