Mkuu, kama sio washkaji, inamana hauna kikundi chochote unachojihusisha nacho kazini mtaani, chuo, msikitini au hata jumuiya ndogondogk kama ww ni mkristo ukaombe msaada huko. Kuanza kueka bondi vitu kwa vipesa vidogovidogo hutengeneza sumu, utashangaa unauza kila kitu ndani kimchezomchezo!