Uzi maalumu; Machine zinazotengenezwa hapa nchini

Uzi maalumu; Machine zinazotengenezwa hapa nchini

Mkuu nashukuru kwa kuelewa na baadhi hujaelewa finishing sio uimara wa mashine pia kwenye sensor hilo nilijibu inawezekana hakuna mashine inayoweza kugoma sensor husika ni hitaji la kila mtu ukiwa serious karibu

PIA NIKURUDISHE NYUMA USISEME ILI HALI NCHI ZETU NDIO ZINAKUA SASA VITU VINGI TUNA IMPORT AU HUJUI HILO?

Pia nikueleze kama hujui mashine zipo automatic kila kitu inaosha yenyewe inapeleka kwenye kinu cha kukoboa then kusaga then packaging inawezekana mtu mmoja tu operator na
Hata sensor kupima unyevu au ujazo n.k inawezekana


Pia kuhusu technologia ukisema mashine zote zinatoa kila kitu sio hivyo labda ulizoshuhudia hapo katika kukoboa kuna vitu vingi nikikueleza ukaone mashine Tandale tumemtengenezea inakutolea ganda tu
Tunaita parazo sasa hilo ni hitaji la kila mtu
Ahsante sana kwa kujibu. Umejitahidi sana. Naona uko mechanical mno. Kwani huwezi kuwa na mashine imara na ikawa na finishing nzuri? Zipo za kijerumani. Jaribuni kutafuta finishing.
Nimefurahi kusikia kuna parazo. Hilo ni jambo jema sana. Watu siku hizi wanafanya fasheni kula dona. Ni hatari. Kuna sumu kuvu(aflatoxin)! Nasikia kuna unga wa sembe na dona tu. Sijasikia unga unaotokana na parazo. Unaitwaje? Huo ndio utakuwa unga sahihi na salama. Sembe ni ya hovyo kama ilivyo dona. Hiyo mashine ya parazo ifanyie marketing. Utaokoa sana wala ugali.
Una maana gani unaposema: sasa hilo ni hitaji la kila mtu! Sio kwamba labda lugha inakupiga chenga?
 
Mashine ya kukausha vitu mbalimbali kama dagaa mboga mboga
20210410_171309.jpg
20210410_171011.jpg
20210410_171309.jpg
20210410_154652.jpg
 
Vipi mashine za kuprocess gogo kuwa mbao? Zinazotumia petrol Mnaweza tengeneza, na gharama yake ipoje? Mashine iwe mobile ya kuvuta kama trailer ama caravan.
IMG_7311.jpg
 
Mashine hii kwa wale wanaohitaji kusaga cocoa tunaitengeneza
20210410_175205.jpg
20210410_175138.jpg
 
Back
Top Bottom