Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Ni siku chache tu zilizopita nliandika katika uzi mmoja Siku ya kumtembelea Deo Kisandu Jamaa yetu JF
Kumkumbuka Huyu Mwamba katika Medani za Siasa hapa Tanzania. Aliyejikusanyia wafuasi wengi vijana kwa wazee hasa kutokana na misimamo yake dhabiti Isiyoyumba ambayo hata ilisababishwa afungwe gerezani.
Shujaa ametoka kama Mandela na anasisitiza bado ana damu ya kupambana kuleta ukombozi kwa Taifa hili.
Mwamba huyu ambaye ametoka na kuwekwa chini ya ulinzi mkali kila anapoenda ili kuhakikisha hawezi mobilize watu wakaamua kuchukua maamuzi jiwe.yaani maamuzi magumu.
Sera zake Deogratias Nalimi Kisandu ni zile za WEKA UGOKO NAWEKA JIWE. ambazo zimeonekana kuwa na ufumbuzi mkubwa wa matatizo ya kiuchumi na kisiasa hapa nchini.
Kesho nitamwomba hapa nimfanyie mahojiano maalum kabla hajaanza hojiwa na CNN,BBC,SKY NEWS,AL JAZEERA,TBC,CBN,DW n.k
Karibu sana mh Don Nalimison jisikie upo home. Naomba kesho nikufanyie mahojiano.