Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sheria za kazi zimekaa upande wako au?
Mbona huwa unafundisha masomo ya uongo kuhusu Ukatoliki?
Ni kweli una degree na umesoma chuo gani? ...Style na ubora wa uandishi wako havifanani na vya mtu msomi wa ngazi ya degree (tena aliyebeba jukumu la kuelimisha jamii)!
Nilipokuwa mahabusu Butimba mwaka 2018 niliugua Sana mapele hasa matakoni maana sikuwa na mtu yeyote wa kuniletea nguo gerezani, na nilipofungwa 28/6/2018 niliumia Sana pale hakimu amenihukumu miaka3 au faini ya Laki5 halafu nafika gerezani nataka kulipa faini ili niachiwe huru maaaskari magereza wakaniambia hati ya kifungo Haina faini, nililalamika Sanaa, maaaskari Butimba gereza wakachukia Sana wakaamua kunihamishia Gereza la Kilimo kitengule_kyaka, Kagera manamo tar 10/01/2019, hapo Kitengule nilitolewa kafara ya wafungwa majambazi kwani Maaaskari wa kikosi maalum Cha Magereza(K.M) walikuwa wananitembezea kipigo kisicho Cha kawaida kipindi nimefika. Fimbo za kumwaga mgongoni, kupigwa kichwani na kuumuka kichwa, kulazwa kwenye matope na kulala nayo ndani ya sell bila kuoga . Yote haya yalikuwa yanafanyika kwa mfungwa mmoja tu ambaye nimimi. Tena nikizihakiwa kwa jina la TICHA. Kitengule ukisema TICHA utaambiwa mateso yote niliyoyapata.
Maaaskari wengine walikashifu eti kanajiona kana degree lakini tumelichakaza li degree kwenye matope na TICHA kadharaulika gereza zima. Maneno ya fedheha yalinichoma Sana. Nawashukuru Maafisa was gereza wenye kuanzia Nyota moja na kuendelea waliamua kuniokoa akiwemo Dr. Andrew aliyeniweka Zahanati kufanya matibabu kàma ODEL akishirikiana na Mvungi ili kuninusuru vipigo vya Kila siku. Lakini pia Sttaff Sajenti Julius na Sajenti Sebastian wote wa Admission office, walinipa sapoti kubwa Sana ya kujifua kisheria ikiwemo kuandika Rufaa za wafungwa, maombi na viapo n.k na baadae nikipewa nafasi ya Unyampara hewa.ambayo kimsingi niliutumia Unyampara kuwaelimisha zaidi wafungwa na mahabusu maswala mbalimbali ya kimaisha na kijamii japonilipandikiziwa chili kwa manyampara wenzangu na hawakutaka kunisapoti zaidi waliogopa kupigwa au kutumbuliwa.
Wewe .ulikua umeajiriwa kama mtumishi wa UMMA na hukustahili kutoa lugha kinzani na mwajiri wako ambae ndio hiyo serikali.
Vinginevyo ni kwamba ulipaswa kujiuzulu kazi yako ya UALIMU na kisha ukajiunga rasmi na harakati zako za kisiasa.
Baada ya wewe kuamua kukata mti huku ukiwa juu ya tawi,hayo ndio madhara yake.
Hiyo lialia yako huku mitandaoni nadhani ndio gharama za upande uliouchagua, kwa sababu hakuna chochote kati ya uliyokuwa ukikifanya kinachoshabihiana na ukombozi wa mtanzania yeyote au jamii yoyote ile.
Hakuna taasisi yoyote ya kiharakati iliyokuwa nyuma yako.
Ila kama ipo basi ina nia na malengo yake binafsi.
Endelea kupambana ila yanapokukuta usije humu kulialia,
Ndio maana hata ndugu wa kukuletea nguo za kubadilisha kule magereza hukuwapata.
Lakini humu JF wapo kibao wanaokujaza ujinga.
Yakikukuta wao wanakusubiri urudi uraiani ili wakutumie..
Wakati huo wewe umri unasonga na FUTURE yako ikiwa bado mikononi mwako
Pole sana kwa mateso hayo uliyopata. Je ni kweli kuwa huwa wafungwa wanaingiliwa kimwili? Je wewe hali hiyo ilikutokea mara ngap?
Pole sana kwa mateso hayo uliyopata. Je ni kweli kuwa huwa wafungwa wanaingiliwa kimwili? Je wewe hali hiyo ilikutokea mara ngap?
Umenifurahisha Sana. Hilo la wafungwa na mahabusu kulawitiana magerezani lipo kabisa Ila linafanyika kwa siri Sana. Niliwashuhudia wafungwa gereza Butimba wakiazibiwa Mara kwa Mara kwa upumbavu huo. Nashauri wafungwa waanze kuletewa wake zao wawapoze au wachanganywe wafungwa was kiume na wakike lasivyo maaaskari wataendelea kufumbia macho matendo ya ngono.
eti nini[emoji23][emoji23]Kisandu upo wapi Kahama au Mwanza nataka nikusalimie
Fayaaaa...na kweli mkuu usitishwe na kazi..kazi kitu gani kwanza .wewe endelea na mapambanoSitishiki na kazi maana serikali yenyewe inajua nilikua jela.
Pole sana.Nilipokuwa mahabusu Butimba mwaka 2018 niliugua Sana mapele hasa matakoni maana sikuwa na mtu yeyote wa kuniletea nguo gerezani, na nilipofungwa 28/6/2018 niliumia Sana pale hakimu amenihukumu miaka3 au faini ya Laki5 halafu nafika gerezani nataka kulipa faini ili niachiwe huru maaaskari magereza wakaniambia hati ya kifungo Haina faini, nililalamika Sanaa, maaaskari Butimba gereza wakachukia Sana wakaamua kunihamishia Gereza la Kilimo kitengule_kyaka, Kagera manamo tar 10/01/2019, hapo Kitengule nilitolewa kafara ya wafungwa majambazi kwani Maaaskari wa kikosi maalum Cha Magereza(K.M) walikuwa wananitembezea kipigo kisicho Cha kawaida kipindi nimefika. Fimbo za kumwaga mgongoni, kupigwa kichwani na kuumuka kichwa, kulazwa kwenye matope na kulala nayo ndani ya sell bila kuoga . Yote haya yalikuwa yanafanyika kwa mfungwa mmoja tu ambaye nimimi. Tena nikizihakiwa kwa jina la TICHA. Kitengule ukisema TICHA utaambiwa mateso yote niliyoyapata.
Maaaskari wengine walikashifu eti kanajiona kana degree lakini tumelichakaza li degree kwenye matope na TICHA kadharaulika gereza zima. Maneno ya fedheha yalinichoma Sana. Nawashukuru Maafisa was gereza wenye kuanzia Nyota moja na kuendelea waliamua kuniokoa akiwemo Dr. Andrew aliyeniweka Zahanati kufanya matibabu kàma ODEL akishirikiana na Mvungi ili kuninusuru vipigo vya Kila siku. Lakini pia Sttaff Sajenti Julius na Sajenti Sebastian wote wa Admission office, walinipa sapoti kubwa Sana ya kujifua kisheria ikiwemo kuandika Rufaa za wafungwa, maombi na viapo n.k na baadae nikipewa nafasi ya Unyampara hewa.ambayo kimsingi niliutumia Unyampara kuwaelimisha zaidi wafungwa na mahabusu maswala mbalimbali ya kimaisha na kijamii japonilipandikiziwa chili kwa manyampara wenzangu na hawakutaka kunisapoti zaidi waliogopa kupigwa au kutumbuliwa.
Huoni kuwa wafungwa wa jinsia tofauti wakichanganywa italeta mimba zisizotarajiwa, magonjwa ya zinaa, kupunguza kwa ufanisi wa kazi,wivu wa mapenzi na visa vyake e.t.c?Umenifurahisha Sana. Hilo la wafungwa na mahabusu kulawitiana magerezani lipo kabisa Ila linafanyika kwa siri Sana. Niliwashuhudia wafungwa gereza Butimba wakiazibiwa Mara kwa Mara kwa upumbavu huo. Nashauri wafungwa waanze kuletewa wake zao wawapoze au wachanganywe wafungwa was kiume na wakike lasivyo maaaskari wataendelea kufumbia macho matendo ya ngono.
😆😆Pole sana kwa mateso hayo uliyopata. Je ni kweli kuwa huwa wafungwa wanaingiliwa kimwili? Je wewe hali hiyo ilikutokea mara ngap?
Pole Sana mkuu, huna mpango wa kugombea ubunge au udiwani?Nilipokuwa mahabusu Butimba mwaka 2018 niliugua Sana mapele hasa matakoni maana sikuwa na mtu yeyote wa kuniletea nguo gerezani, na nilipofungwa 28/6/2018 niliumia Sana pale hakimu amenihukumu miaka3 au faini ya Laki5 halafu nafika gerezani nataka kulipa faini ili niachiwe huru maaaskari magereza wakaniambia hati ya kifungo Haina faini, nililalamika Sanaa, maaaskari Butimba gereza wakachukia Sana wakaamua kunihamishia Gereza la Kilimo kitengule_kyaka, Kagera manamo tar 10/01/2019, hapo Kitengule nilitolewa kafara ya wafungwa majambazi kwani Maaaskari wa kikosi maalum Cha Magereza(K.M) walikuwa wananitembezea kipigo kisicho Cha kawaida kipindi nimefika. Fimbo za kumwaga mgongoni, kupigwa kichwani na kuumuka kichwa, kulazwa kwenye matope na kulala nayo ndani ya sell bila kuoga . Yote haya yalikuwa yanafanyika kwa mfungwa mmoja tu ambaye nimimi. Tena nikizihakiwa kwa jina la TICHA. Kitengule ukisema TICHA utaambiwa mateso yote niliyoyapata.