Uzi Maalumu /Mahojiano na Kumkaribisha tena Uraiani Deo Kisandu aka Don Nalimison The Great

Ni kweli una degree na umesoma chuo gani? ...Style na ubora wa uandishi wako havifanani na vya mtu msomi wa ngazi ya degree (tena aliyebeba jukumu la kuelimisha jamii)!

Sebastian Kolowa University College of Tumaini University...Lushoto.Tanga
 
Pole sana kwa mateso hayo uliyopata. Je ni kweli kuwa huwa wafungwa wanaingiliwa kimwili? Je wewe hali hiyo ilikutokea mara ngap?

Baba yako akiwaanafanya Mambo ya kijinga je utamwangalia tu eti kisa baba yako?
 
Pole sana kwa mateso hayo uliyopata. Je ni kweli kuwa huwa wafungwa wanaingiliwa kimwili? Je wewe hali hiyo ilikutokea mara ngap?

Umenifurahisha Sana. Hilo la wafungwa na mahabusu kulawitiana magerezani lipo kabisa Ila linafanyika kwa siri Sana. Niliwashuhudia wafungwa gereza Butimba wakiazibiwa Mara kwa Mara kwa upumbavu huo. Nashauri wafungwa waanze kuletewa wake zao wawapoze au wachanganywe wafungwa was kiume na wakike lasivyo maaaskari wataendelea kufumbia macho matendo ya ngono.
 
Ok. Na je suala la kulala mnalala.mnalala wangapi kwa utaratibu gani. Ni sehem kbwa wote mnachanganywa au kuna vyumba? Suala la kunguni viroboto na mbu likoje?

Pole sana.
 
Huoni kuwa wafungwa wa jinsia tofauti wakichanganywa italeta mimba zisizotarajiwa, magonjwa ya zinaa, kupunguza kwa ufanisi wa kazi,wivu wa mapenzi na visa vyake e.t.c?
 
Umenufaika nini na kuwa jela? Ok ngoja niweke sawa umetoka na ujuzi wowote?
Umejifunza nini huko?
Na kwa nini wakupe adhabu kali kali kama wewe ni gaidi?
 
Pole Sana mkuu, huna mpango wa kugombea ubunge au udiwani?
 
pole mtemi deo,hayo yote ni mapito
natumaini umebadilika kwa kukaa huko na utakuwa raia mwema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…