Uzi Maalumu /Mahojiano na Kumkaribisha tena Uraiani Deo Kisandu aka Don Nalimison The Great

Fayaaaa...na kweli mkuu usitishwe na kazi..kazi kitu gani kwanza .wewe endelea na mapambano
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Don Nalimison the great ni role mode wangu, na mimi nikikua mkubwa nataka niwe kama Deo mawana wa kisandu.
Kutoka kwake mi ningependa kujua, tokea alipoanza kutumikia kifungo alipata habari zozote kuhusu mchumba na mke wake mtarajiwa Malia Obama.
Je alipokea barua/ujumbe wowote toka kwa Malia wa kumfariji na kumtia nguvu katika harakati na changamoto anazokutananazo?
 
Don Nalimison

 
Sitishiki na kazi maana serikali yenyewe inajua nilikua jela.

Kuna chochote ulichojifunza jela cha kuyafanya maisha yako baada ya jela kuwa yenye tija?

Ninakupa credit kwa kutokuwa na ujasiri bandia wa nyuma ya keyboard kama ule wa agitators walio wengi. Uko tayari kubeba msalaba kwa kauli na matendo yako!
 
Kuna chochote ulichojifunza jela cha kuyafanya maisha yako baada ya jela kuwa yenye tija?

Ninakupa credit kwa kutokuwa na ujasiri bandia wa nyuma ya keyboard kama ule wa agitators walio wengi. Uko tayari kubeba msalaba kwa kauli na matendo yako!

Viboko.
 
mzee unawaharibia kazi hawa maaskari daaah kwa nn unawataja majina????

we sema tu kuna askar alinisaidia hk au kile na sio kumtaja majna
 
Unawataja hawa waliokusaidia. Unaweza ukawaharibia. Hakuwa na sababu ya kuwataja majina. Futa majina yao...
 
Umenufaika nini na kuwa jela? Ok ngoja niweke sawa umetoka na ujuzi wowote?
Umejifunza nini huko?
Na kwa nini wakupe adhabu kali kali kama wewe ni gaidi?

Nilishangaa Sana.
 
Huoni kuwa wafungwa wa jinsia tofauti wakichanganywa italeta mimba zisizotarajiwa, magonjwa ya zinaa, kupunguza kwa ufanisi wa kazi,wivu wa mapenzi na visa vyake e.t.c?

Sasa tutafanyaje? Hakuna zaidi.
 
Kisandu huyo mliyekuwa mkimhitaji humu amerudi
Sasa Kazi kwenu

Ova
 
Mkuu Deo .Kabla ya madhila uliyopitia ulikuwa ukitoa tuhuma mfululizo dhidi ya katibu mkuu kiongozi Balozi Kijazi . Je tuhuma zako zina ukweli na unaweza kutupa uthibitisho?
 
Mi ningependa kuuliza baada ya kutoka shamba njia ya ukaguzi kuingia ngome
 
Duuuuuuuuh kiukweli pole sana, kwa hayo mateso huko gerezani i feel so [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Kumbe kuna watu wanamjaza kichwa namna hii

Hawezi kupona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…