Sifi Leo Platinum Member Joined Mar 30, 2012 Posts 6,408 Reaction score 12,100 Jun 25, 2026 #1 Mi nshamaliza kwenye title
Fbn JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 15,749 Reaction score 37,420 Jun 25, 2026 #2 Hapo hakuna uzi.Hakuna mbunge aliyechaguliwa kwa haki mpaka raisi. Huu uzi ni batili
YoungPastor JF-Expert Member Joined Sep 18, 2018 Posts 1,031 Reaction score 1,940 Jun 25, 2026 #3 Kila mbunge huwa bora kulingana na vile anavyoleta suluhu kwa mahitaji ya wananchi walomchagua.
CAPO DELGADO JF-Expert Member Joined Aug 31, 2020 Posts 12,134 Reaction score 27,519 Jun 25, 2026 #4 Hakuna Muwakilishi wa Wanachi Bungeni Dodoma Tanzania. Hakuna aliyepigiwa kula halali labda Mmoja tu. Nadhani Baba Levo. Anajua kuwasemea watu wake. Ila mambo ya Sera ni 0.
Hakuna Muwakilishi wa Wanachi Bungeni Dodoma Tanzania. Hakuna aliyepigiwa kula halali labda Mmoja tu. Nadhani Baba Levo. Anajua kuwasemea watu wake. Ila mambo ya Sera ni 0.
SankaraBoukaka JF-Expert Member Joined Jul 2, 2019 Posts 3,577 Reaction score 5,664 Jun 25, 2026 #5 Mbunge bora kisa anapayuka sana?