Uzi maalumu, MBUNGE Bora wako ni yupi? Mimi ni Baba Levo.

Hapo hakuna uzi.Hakuna mbunge aliyechaguliwa kwa haki mpaka raisi.

Huu uzi ni batili
 
Kila mbunge huwa bora kulingana na vile anavyoleta suluhu kwa mahitaji ya wananchi walomchagua.
 
Hakuna Muwakilishi wa Wanachi Bungeni Dodoma Tanzania.
Hakuna aliyepigiwa kula halali labda Mmoja tu.

Nadhani Baba Levo.
Anajua kuwasemea watu wake.
Ila mambo ya Sera ni 0.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…