Mzee wa skeletonFidel8
Unamaanisha 'calm down'. Kale ni genes kalizaliwa hivyo hata kakilaje. Ila ugonjwa wangu ni kwa mademu waliojaziajazi yani uniaambii kitu.Omega3 ya Sangara hiyo, huwa haimtupi mtu hata yule kimbaumbau naibu spika akila Sangara wiki tu unakasahau utasema kamechambia hamira.
Γipo hapa
πππππ hapa tulikuwa tunachart kitu kingine tuKumbe Dina umepotea!!
Ok, hapo sawa kipenzi.πππππ hapa tulikuwa tunachart kitu kingine tu
Interest imeisha wanadai jf imekua fb iliyochangamkaWengine wanazaidi ya miaka 3 wapo nje ya jf, hii inamaanisha nini?
Siku ukimuona nistue