Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee wa skeletonFidel8
Unamaanisha 'calm down'. Kale ni genes kalizaliwa hivyo hata kakilaje. Ila ugonjwa wangu ni kwa mademu waliojaziajazi yani uniaambii kitu.Omega3 ya Sangara hiyo, huwa haimtupi mtu hata yule kimbaumbau naibu spika akila Sangara wiki tu unakasahau utasema kamechambia hamira.
Ñipo hapa
😂😂😂😂😂 hapa tulikuwa tunachart kitu kingine tuKumbe Dina umepotea!!
Ok, hapo sawa kipenzi.😂😂😂😂😂 hapa tulikuwa tunachart kitu kingine tu
Interest imeisha wanadai jf imekua fb iliyochangamkaWengine wanazaidi ya miaka 3 wapo nje ya jf, hii inamaanisha nini?
Siku ukimuona nistue