Uzi maalumu: Mtakie asubuhi njema umpendaye hapa JF na kumpa baraka za kuanza siku njema

Ndio muda wenyewe huu tusiharibiae mudi
Hahaha Tena zile za Temeke au mwananyamala vichips vitamu hivyo na kuku wa kisasa amekaangwa upate na peps ya baridi kwa hali hiyo lazima nguvu zipotee
 
[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
 
Hahaha Tena zile za Temeke au mwananyamala vichips vitamu hivyo na kuku wa kisasa amekaangwa upate na peps ya baridi kwa hali hiyo lazima nguvu zipotee
Leo nakula Dona na mchicha, chips nimewaachia watoto wakike
 
Back
Top Bottom