Uzi maalumu: Mtakie asubuhi njema umpendaye hapa JF na kumpa baraka za kuanza siku njema

Uzi maalumu: Mtakie asubuhi njema umpendaye hapa JF na kumpa baraka za kuanza siku njema

Daaaahhhh.

Umetiririka hadi nimeishiwa point.

Labda tukikutana pale garden Area C nitatiririka na kuserereka hadi kuserebuka barabara.

Ahsante sana rafiki yangu wa nguvu Demiss.

Na mimi nakutakia mchana mwema wenye baraka tele!!
Kumbe na ww ni wa idodomia??
 
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Mimi ni miongoni mwa wale mnaopenda kuwasema vibaya
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] nilitaka kushangaa kwa ule msosi wa juzi ulionikaribisha utakuwaje wa dodoma
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] nilitaka kushangaa kwa ule msosi wa juzi ulionikaribisha utakuwaje wa dodoma
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ule msosi nilidownload bana
 
Back
Top Bottom