Asubuhi njema cha mdeko[emoji297][emoji8][emoji8][emoji297][emoji8][emoji8][emoji297]
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
[emoji297][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji297]
[emoji297][emoji297][emoji8][emoji8][emoji8][emoji297][emoji297]
[emoji297][emoji297][emoji297][emoji8][emoji297][emoji297][emoji297]
Leo sitamani hata kukiachia Kitanda jaman Khaaa ngj NiamkeNi siku nyingine mpya tena, tarehe nyingine mpya tena, mwezi mwingine mpya tena.
Ni wengi walitamani kufika hii siku, tarehe na mwezi mpya lakini kwa mapenzi ya Muumba hawajaweza kufika.
Mimi na wewe ambao tumefika hatuna budi kushukuru sana! Kwani sisi tumemshawishi kwa lipi hadi atufikieshe hapa? Hilo ni swali la kujiukiza na kutafakari.
Asubuhi njema cha mdeko!!
Mahaba niue[emoji8]
Ahsante sana RFK!Asubuhi njema rafiki
[emoji85]Mahaba niue[emoji8]
Thanks kwa kuniona mana wengine tuna nyota ya Hewa!Pamojaaa sana
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Oooooh Waooooh jaman Asante sana yani nimepata nguvu zisizoelezeka
Kabisa. Nimeona.Kuanzia leo nyota yako mwake mwakeee[emoji298][emoji298][emoji298][emoji298][emoji298]