Mwanyasi
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 7,955
- 7,109
Ubarikiwe mileleAsanteee na wewe piah umenifanya nianze siku yangubkwa tabasamu murua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ubarikiwe mileleAsanteee na wewe piah umenifanya nianze siku yangubkwa tabasamu murua
Nipo mkuu nikipata chance kidogo nachunguliaNa wewe pia mkuu.
Umepotea sana, kulikoni
Amina mamaAsanteee sana mkuuu karibu tena uwe na asubuhi njema na baraka teleee
Mungu akulinde akuepushe na mabayaaaa yoteeeee
Hapo sawa, huwezi kuingia kwenye mapambano na kutarajia ushindi bila kujiandaaHapa nimeanza kufanya mazoezi ya kula nyamaaaa kabisa najua pasaka itakuwa baraka toshaaa
Hapo sawa mkuu, kizuri mpasie na mwenzio banaDuuuuh itabidi nijifunze pia kwakweli
Kuishi uswazi sio bahati mbaya, mazuri yake hayaelezekiAiseeee nilikuwa sjui kwann watu wa uswazi wanazila sana kumbe ndo tamu vileee na kile kisusio nawahi sit kitakuwa changu
Habari za mwaka jana mkuuOy oy
Salama mkuu lete habariHabari za mwaka jana mkuu
Menyewe hayoIle mitaaa ya Tegeta kwa ndevu kule machinjion ndo niliona nyama zile alafu sjui ndio hayo mapupu kama sponjiii