Uzi maalumu: Mtakie asubuhi njema umpendaye hapa JF na kumpa baraka za kuanza siku njema

Uzi maalumu: Mtakie asubuhi njema umpendaye hapa JF na kumpa baraka za kuanza siku njema

Ahsante sana mkuu usijali

Kikubwa ujiandae na uvumilivu wa kuhandle wageni, si unajua tena wengine kutia menu ya kilo kadhaa kwa mtu mmoja ni kawaida sana
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]wewe tena nakuaminia mpaka share yangu nikisema nimeshiba huwa unawaambia wakupe mtu chake jipangeee huyu huwa anafukia vilivyo
 
Huu uzi kumbe mtamu hivi, nawatakia siku njema wote
Kuna sehem nilikuwa nataman nikupate kama hivi nikwambie ya moyoni

Natafuta hata sehem nikupe like hata sikuon bali nakuona wewe kwa mbali

Afadhali uwe na asubuh njema rafiki
 
Nilikua sijapita mitaa hii..mkuu mwifwa,Demiss na wengine wote humu nawatakia asubuhi njema yenye baraka
 
Nilikua sijapita mitaa hii..mkuu mwifwa,Demiss na wengine wote humu nawatakia asubuhi njema yenye baraka
Asanteee sana mkuuu karibu tena uwe na asubuhi njema na baraka teleee

Mungu akulinde akuepushe na mabayaaaa yoteeeee
 
Back
Top Bottom