Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante sana mkuu usijaliPamoja sana,niwakaribishe pasaka huku kijijini tule mbuzi
Usihofu mkuu mbuzi mmoja anawatosha kbsAhsante sana mkuu usijali
Kikubwa ujiandae na uvumilivu wa kuhandle wageni, si unajua tena wengine kutia menu ya kilo kadhaa kwa mtu mmoja ni kawaida sana
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]wewe tena nakuaminia mpaka share yangu nikisema nimeshiba huwa unawaambia wakupe mtu chake jipangeee huyu huwa anafukia vilivyoAhsante sana mkuu usijali
Kikubwa ujiandae na uvumilivu wa kuhandle wageni, si unajua tena wengine kutia menu ya kilo kadhaa kwa mtu mmoja ni kawaida sana
Nimewaandalia mbuzi mzima nyie tu wawili[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]wewe tena nakuaminia mpaka share yangu nikisema nimeshiba huwa unawaambia wakupe mtu chake jipangeee huyu huwa anafukia vilivyo
Wapi tena mkuu? Karibu sana!Kuna sehem nilikuwa nataman nikupate kama hivi nikwambie ya moyoni
Natafuta hata sehem nikupe like hata sikuon bali nakuona wewe kwa mbali
Afadhali uwe na asubuh njema rafiki
Na wewe pia mkuu.Nilikua sijapita mitaa hii..mkuu mwifwa,Demiss na wengine wote humu nawatakia asubuhi njema yenye baraka
Hapo sawaMm uongo kwangu mwiko kabisaaaa
Ha haa kumbee, huwa nikimuona chat-mate popote nafurahi, ahsante kuliona hilo.Nikupe like tu maana huwa sikukosi kwenye notificafion zangu nikasema wacha leo na mm asinikose kwenye notification zakeeeeee