Uzi maalumu: Mtakie asubuhi njema umpendaye hapa JF na kumpa baraka za kuanza siku njema

Kuishi uswazi sio bahati mbaya, mazuri yake hayaelezeki
Ile mitaaa ya Tegeta kwa ndevu kule machinjion ndo niliona nyama zile alafu sjui ndio hayo mapupu kama sponjiii
 
Asubuhi njema dadaangu MBITIYAZA huko uliko najua bado umeweka ubavu wa kitandani baada ya siku muhimu kabisa ya wanawake duniani.Kwa uchovu huo naomba usindikizwe hii asubuhi njema na wafuatao
Demiss
Kapeace
Neema swai
na wengine wote wenye jinsia kama yako lakini mwisho kabisa akiwa ni mke wangu mpendwa Ma Good.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…