Uzi maalumu: Mtakie asubuhi njema umpendaye hapa JF na kumpa baraka za kuanza siku njema

Uzi maalumu: Mtakie asubuhi njema umpendaye hapa JF na kumpa baraka za kuanza siku njema

Just wanted to say good morning to one of the person that means the world to me.

Good morning cha mdeko!
Japo nimechelewa kukusalimia kaka angu
Unajua sasa hivi mm mke wa mtu majukumu ya asubuhi yananibana nisamehe sana .
 
Kwako Mwifwa

Wewe rafiki yangu wa ukweli kwenye shida na raha Nikutakie asubuhi njema iliyojaaa baraka tele na upendo mwingi.

Nakuombea uianze siku yako vema Ukiwa umejaa furaha tele .
Unajua Jinsi ninavyokumiss asubuhi nikiingia hapa Jf nikakosa hata notification yako.

Nakuombea uendelee na moyo huo huo rafiki yangu wa pekee wa hapa Jf.

Nikutakie asubuhi njema iliyojaaa amani, upendo, furaha, faraja, tabasamu, na kila aina ya vipepeo wanaopepea na maua mazuri kuipendezesha asubuhi yako.

Ni mm rafiki yako uliyenifundisha Jf.

Demiss (Cha mdeko)
Dah hapa ilikuwa bado hapa 😀 😀 🙁 😀
 
....
IMG-20180316-WA0012.jpg
 
Asubuhi njema member wote wa jf nawatakia siku njema na yenye baraka tele,barikiweni sana.

aitiviiiiiiii,maraaaaa!!!
 
Asubuhi njema na siku njema
Uzuni ,upole,ukarimu wanakusalimia. Furahana unyenyekevu wapo njiani wanakuja kwako ila taabu na shida hawatakuja kwasababu wote wanaumwa.

Mawazo mashaka na kukata tamaa wapo jela.
Ushindi utajiri na amani wapo njiani wanakuja

Uwe na asubuhi njema
 
Back
Top Bottom