Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Na wewe pia uwe na Asubuhi njema na siku njema yenye baraka tele.Uzuni ,upole,ukarimu wanakusalimia. Furahana unyenyekevu wapo njiani wanakuja kwako ila taabu na shida hawatakuja kwasababu wote wanaumwa.
Mawazo mashaka na kukata tamaa wapo jela.
Ushindi utajiri na amani wapo njiani wanakuja
Uwe na asubuhi njema